Tuesday, January 31, 2006

Kweli Mjuu hamnazo! Waziri Mkuu atangaza kuacha ngono hadi uchaguzi umalizike!!!!

ukishangaa ya Musa utastaajabu ya Silvio Berluscon, haki ya mungu !Waziri Mkuu wa Italia Bw. Silvio Berlusconi amewashangaza walimwengu baada ya kutangaza kuacha ngono hadi Aprili 09 mwaka huu baada ya uchaguzi wa inji hiyo kumalizika.

unajua nini mpenzi msomaji huyu sio kama hana akili ila ametoa changamoto kwa viongozi wote ulimwenguni kuwa serious na mambo magumu na hasa katika wakati mgumu wa uchaguzi kuacha kabisa masuala ya NGONO, ili kujua nini kinaendelea na kama huamini soma habari hii kwa lugha ya kisasa hapa chini.


Berlusconi 'in pre-poll sex ban'

Italian Prime Minister Silvio Berlusconi has surprised followers with an unusual pledge - to give up sex until after April's general election.

Mr Berlusconi, 69, reportedly made the vow at a campaign rally in Sardinia with a popular local TV preacher.

Father Massimiliano Pusceddu had praised him for opposing gay marriage and defending family values.

In remarks quoted by Il Giornale newspaper, Fr Pusceddu promised his support, prompting the PM's comments.

"I will try to meet your expectations, and I promise from now on, two-and-a-half months of absolute sexual abstinence, until 9 April," he said.

Jokes

Mr Berlusconi has been criticised in the past for using sexual innuendo and making sexist jokes.
Last June, the prime minister stunned the Finnish government by saying he had used his "playboy" charms to persuade female President Tarja Halonen to give up attempts to house the EU food agency in Helsinki.

And in 2003 he told US business leaders they should invest in Italy because it had "beautiful secretaries... superb girls".

Correspondents say the twice-married Italian leader sees himself as something of a ladies' man.

He left his first wife 27 years ago to marry glamorous blonde actress Veronica Lario, but there have been rumours in recent years of marital problems.

Ends.....

Thursday, January 26, 2006

KWA STYLE HII, WABONGO MWAKA HUU TWAFAHii ndio hali ya Bongo kwa hivi sasa, hakuna pesa hakuna mvua wala hakuna biashara inayofanyika zaidi ya biashara kujiozea na wauzaji kupumzika kwa staili hii ambapo ataamshwa na njaa kali ambapo atakuwa anahitaji menu hiyo hapo kulia, wakati mfukoni hana hata shilingi, jamani tufanye nini wenzenu twafa! tena twafa vibaya maana tutakufa bila ubishi, israeli atatukuta tumepumzika hii ikiwa na maana kuwa tutakufa bila kuugua wala kupata ajali, Ndugu zanguni tumwombe sana mungu atusaidie!!! (picha kwa hisani ya Issa Michuzi)