WELCOME!!!!! Nikikwwambieni Wasomaji wangu niko Bize naomba muamini na kama hamuamini mumuulize Michuzi, ilibidi tu tuipige ili kuthibitisha kauli yangu niiyoitia kijiweni, hapa ni katika viwanja vya Bunge, Blogaz. (Michuzi kushoto na Martha D. M).
9 comments:
Anonymous
said...
Dada Martha nakutakia maandalizi mema kwa ajili ya 2010, nitakuja kuwa mpiga debe wako, la maana sasa hivi angalia jinsi gani ya kupanga mikakati kwa kuangalia hao waheshimiwa wanavyojadili mambo yao ili tupate agenda 2010 tayari kuchukua kiti cha hapo DOM mjini, jamani kwani wanaume tu wanastahili hapo mahali, aka,shime mwenzangu, sisi tupo karibu nawe sawa Martha!

unafanana na amina. nduguyo?
wajameni amasisheni wana blog waweze kuandika habari mara kwa mara na ikiwamo wewe Martha. tunaitaji kupata habari toka kwenu.
acha uvivu martha, looooh!
KWELI UKO BUZE KUTONGOZANA NA MICHUZI
SORRY I MEANT BIZE KUTONGOZANA NA MICHUZI,NA MICHUZI HAPISHI UTANASA TU..
Una maana Michuzi atamtia mimba?
Mnatumia vibaya uhuru wenu wa kuota maoni. Au ndio utani!
Haya Martha, mbona sioni stori zako magazetini? Au ndio kubwa bize?
Jamani huo utani mwingine haufai.
Martha umependeza kweli pichani.
Mama Malaika
UK
Post a Comment