Monday, October 09, 2006

Man of Many Talents- Daniel Arap Moi

3. Moi Can Spin


1. Moi can Skate


2. Moi Can Roll With Fellas.







5 comments:

mloyi said...

Kwani Moi ni mzee na mwenye magonjwa yasiyoisha! Mbona mnashangaa akifanya mavitu yake hayo?
Mwacheni ajilie raha zake! asahau majukumu ya kuwa raisi wa taifa gumu kama Kenya.

Anonymous said...

Dada, Martha we Mtundu saaan! Haya tuambie alimuona wapi Moi akispin? alimuona wapi moi akiskate? Hivi Moi ni check Bob?

Martha Mtangoo said...

Moi alikuwa na ataendelea kuwa Checkbob watu wanasema ni mtoto wa Mjini yani usipime kwa kifupi wee acha tu!

Anonymous said...

HUO NI UTUNDU WA KI COMPUTER LAKINI MIMI SIONI KAMA NI VIZURI KUMU ASSOCIATE MZEE WA WATU NA MAMBO KAMA HAYO.MAONI YANGU.

Anonymous said...

LMAO..... That's too funny.

Wanikumbusha cartoon moja ya Queen Elizabeth akirudi mangoma ki-roho mbaya mara akiwa jukwaani akifanya vitu vyake, Rock&roll