Kwani Moi ni mzee na mwenye magonjwa yasiyoisha! Mbona mnashangaa akifanya mavitu yake hayo? Mwacheni ajilie raha zake! asahau majukumu ya kuwa raisi wa taifa gumu kama Kenya.
Dada, Martha we Mtundu saaan! Haya tuambie alimuona wapi Moi akispin? alimuona wapi moi akiskate? Hivi Moi ni check Bob?
Moi alikuwa na ataendelea kuwa Checkbob watu wanasema ni mtoto wa Mjini yani usipime kwa kifupi wee acha tu!
HUO NI UTUNDU WA KI COMPUTER LAKINI MIMI SIONI KAMA NI VIZURI KUMU ASSOCIATE MZEE WA WATU NA MAMBO KAMA HAYO.MAONI YANGU.
LMAO..... That's too funny.Wanikumbusha cartoon moja ya Queen Elizabeth akirudi mangoma ki-roho mbaya mara akiwa jukwaani akifanya vitu vyake, Rock&roll
Post a Comment
5 comments:
Kwani Moi ni mzee na mwenye magonjwa yasiyoisha! Mbona mnashangaa akifanya mavitu yake hayo?
Mwacheni ajilie raha zake! asahau majukumu ya kuwa raisi wa taifa gumu kama Kenya.
Dada, Martha we Mtundu saaan! Haya tuambie alimuona wapi Moi akispin? alimuona wapi moi akiskate? Hivi Moi ni check Bob?
Moi alikuwa na ataendelea kuwa Checkbob watu wanasema ni mtoto wa Mjini yani usipime kwa kifupi wee acha tu!
HUO NI UTUNDU WA KI COMPUTER LAKINI MIMI SIONI KAMA NI VIZURI KUMU ASSOCIATE MZEE WA WATU NA MAMBO KAMA HAYO.MAONI YANGU.
LMAO..... That's too funny.
Wanikumbusha cartoon moja ya Queen Elizabeth akirudi mangoma ki-roho mbaya mara akiwa jukwaani akifanya vitu vyake, Rock&roll
Post a Comment