WATOTO ni rika moja ambalo asipolelewa vyema basi ama atafanya maajabu ama madudu katika ulimwengu huu.
lakini pia utandawazi unaharibu sana watoto katika ulimwengu huu ambao wataalam wanauita ulimwengu wa Sayansi na Teknolojia.
Sasa Hebu angalia Junior anasilikiza Music naelewa kweli halafu mziki wenyewe wa Wagosi wa Kaya, unaitwa 'NYETI'.
HIVI KWELI TUTAFIKA JAMANI?
2 comments:
wewe acha hizo du yaani uliona lini junior naye akasikiliza nyeti za wagosi badala ya kucheza na makopo?
hapo mama unatisha kwa kutuzuga tu sikuwezi.
haya ndio malezi na makuzi ya watoto wa kizazi hiki cha ambacho napenda kukiita cha bongoflavour,ni vigumu kuwazuia kwani baba na mama zao ni vijana wameoana wakiwa wadogo ndio maisha ya sasa,watu wanaoana wakiwa mashuleni na vyuoni tuache kama yalivyo haya mambo ndio tayari yamekuwa mambo, mbeleni shughuli ipo wazee wakisema ukisema wanaambiwa watajiju! au ili dingi nalo noko kweli!baasi ndio hivi tumesubiri na sasa tunajiju!!!! na tutaendelea kujiju!!
Post a Comment