Wednesday, August 03, 2005

HAYA TENA MABLOGST WANAZIDI KUONGEZEKA!!!!!

Ni waandishi wa Habari tu tena toka Dodoma, huyu nae ni Mpiga Picha wa ITV Dodoma naitwa Twaha kivale, Bonyeza hapa umsome.

1 comment:

Ndesanjo Macha said...

Martha, picha zimenitisha kweli.
Halafu, hicho kiunganishi cha blogu mpya kina tatizo nadhani. Hebu tazama upya.